Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Boss wangu motivational video hazielimishiππ?kuna kuelimisha na motivational bila shaka wewe upo na motisha video
Ujinga ulianzia hapa,mama anasema najua mnapata basi jipimieni akarudia tena jipimieniTupate ilimu kidogo
Tunaomba part 2 ya hii clip tafadhali ππ½Kwa wasio jua hizi video zinakuja nyembamba ila unaweza kuzikuza kwa kuzizoom kwa kutumia vidole vyako
View attachment 3479352
Hata mimi nina hamu nayo sana,ngoja niitafuteTunaomba part 2 ya hii clip tafadhali ππ½