Uzi maalumu wa vituko, changamoto na visa vya wasicana wa kazi/ house girls.

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Nakumbuka tuliwahi kuagiza beki 3 mkoani morogoro vijijini tukaambiwa huyo binti ana miaka 18 kamaliza form four binti kufika anaonekana ana miaka 13 na hata kukaa na watoto hawezi.

Kuna mmoja huyo alikuwa akikosea hataki kuambiwa anajifanya anapandisha mashetani na kunyamaza siku nzima kalala tu kitandani haongei chochote hasira zikimwisha anaamka anakula ugali [emoji1]

Kuna mwingine yeye anaacha watoto anaenda kwa mabwana zake anajua tunarudi jioni yeye saa10 kasharudi tumekaa naye mwaka bila kujua.

Mwingine ushirikina yani ana chale mwili mzima hadi mtoto wa miezi minne anamwogopa .

Hebu na wewe tupia changamoto ulizokutana nazo kwa house girls wale wazee wa ushauri mbadala ya house girls uzi huu hauwahusu .
 
Zip ilinibana kwenye kikojoleo, me mnajua maumivu yake. Nikawa nalia kushenzi. Beki tatu akanisaidia kuitoa. Then akaniambia dawa yake niingize kwenye kikojoleo chake itapoa. Na kweli ikapoa. Toka Happ hata nikijwaa namtafuta dada Kama Kuna nafasi naingiza kikojoleo changu kwake then maumivu yanakata. Sjui yuko wapi yule dada maana saivi wife anatafuta dada wakazi. Najua akija yule kazi zitafanyika na hata hili jino linalonisumbua dawa yake anayo.
 
Vya kukera hapana. Kwangu, uwepo wao ni burudani kwangu. Hali yao ya kutojua vitu hunipa raha. Yaani nawaelekeza huku nasmile.
 


Unataka kupasha kiporo sio
 
Vya kukera hapana. Kwangu, uwepo wao ni burudani kwangu. Hali yao ya kutojua vitu hunipa raha. Yaani nawaelekeza huku nasmile.

Utakuwa hujakaa na wengi mana hawa viumbe ni zaidi ya kero
 
He! Hii nayo Kali. We na huyo dada wa kazi mna mambo!!!
 
Unatumia mfumo gani mpendwa
Hauwezi kutumika kwa wote. Niko mbali na kwetu. Mama ndo huniletea, tena yule aliyekuwa anaishi nae kwani tayari anakuwa amemtrain na kuyajua mazuri na madhaifu Yake.
 
Kuna mmoja alikuwa anavaa gagulo refu zaidi ya sketi zake
 
Mi ni vingii..ngoja nianze kimoja kimoja

Kuna wa kwanza alitoka manzese..siku mama mwenye nyumba kapika mboga akamwambia Dada malizia kupika ugali.Dada akapika.
Baba mwenye nyumba karudi njaa nitengeeni mlo mezani..kuja kupakua ugali anashangaa ni kama liuji lizito.
Yani haupakuliki.umedoda
Mke anaitwa "hivi ndo mini sasa?
Akaanza kujitetea ni housgirl
Baba kasusa kaondoka
Huku mama kaanza kumfokea hg wake
Hg Siku hiyohiyo kafungasha mabegi yake anataka nauli huku Analia
Aliondoka siku hiyohiyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu kwao kulikua kuna house girl akamtafuna bhana,bahati mbaya sijui nzuri akampa mimba,

Baba yake kusikia ikabidi awatafutie chumba akawalipia kodi na vitu vichache akawafungulia na genge waanze maisha!
 
father hause alimuuliza beki 3 "kwanini huyu kuku amekufa.?" beki 3 akajibu "amejinyonga"
 
Mimi hapo sijaelewa,beki tatu ndo kama wale wakina gadiel michael,mwinyi haji au zimbwe junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…