Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana,
Upambanaji upo na watu wanapambana kufa na kupona ili waondokane na umaskini,
Kwenye upambanaji kuna mambo mengi Sana masaibu mbalimbali watu hukutana nayo, kwa hapo tupate story za machimboni iwe ulitoboa, ulifeli, ulitapeliwa lakini zote ni hustle ,
Mtu aliyetafuta pesa machimboni hata kama hakua mchimbaji muheshimu Sana tena Sana , watu wa aina yetu hua na mambo mengi tunayafahamu kuliko kawaida,
Iwe ulikua Kota, mpambe, mchimbaji na iwe ulikua chunya huko uliwasikia akina msigwa, mabula , iwe ulikua kanda ya ziwa akina Baraka muha ulipata kuwasikia ,
Iwe ulikua unaozesha lazima utafahamu kishimba ndio mwanzilishi wa huo mchongo toka alipoenda Afrika kusini ndio akaleta mpango wa marudio,
Hustle za machimboni na changamoto zake nyingi na visa vingi Sana,
Ikiwa ulipitia visa kahama nyangarata, ushirombo, nyamirembe, nyarugusu, Dar pori mbinga, chunya ya saza , chunya ya makongorosi, namba nane nzega, ruangwa , nachongwea , wale waliovuka border hadi msumbiji mweda , nanyupu, mkula , montepweshi, uwe ulienda chimbo za DRC Congo goma , beni mavivi , kisangani, au kama ulivuka kwenda Afrika ya kati njoo ueleze mikasa na visa ili wapambanaji wengine wajifunze , kongole nazipeleka kwa hustlers wote , mean real hustlers naamini popote mlipo mnapambana na siku moja malengo tutayafikia sio kukata tamaa,