Sawauzi mkali sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko Moshi Shan't Town Yaani Jersey Kule Juu Kabisa Kileleni Kwenye Barafu Inaonekana Vema. Simba Nguvu Moja View attachment 2695504
Tunausubiria msimu kwa hamu sana.Binafsi naona ni jezi za kawaida tu.
Ni bora ya pumba ni faida watakula mifugo, kuliko haya mashudu yako ni useless kabisa.Ukiona mtu anajielezea Sanaa kama wewe ujue anaongea pumba tuupu
Ni mbaya hata kwenye ukawaida haimoBinafsi naona ni jezi za kawaida tu.
Ni bora ya pumba ni faida watakula mifugo, kuliko haya mashudu yako ni useless kabisa.
Balaaa sanaDah,
Niwe mkweli tu, jezi za mwaka jana ni nzuri kuliko hizi. Pengine uharaka labda au mambo yalikua mengi ila hizi jezi hazishtui sana, kama za miaka ile tu.
Hamna kitu.Ni mbaya hata kwenye ukawaida haimo
Ni kituko cha karne..mlebo mkubwa kama temboVipi huo mlebo wa M-Bet hapo mbele?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni kituko cha karne..mlebo mkubwa kama tembo
Nawaona TU wadada wazuri ila Uzi wa hovyoo,MIKIA WAJANJA SANA..
ππKabisa kabisa Swahiba kiufupi hazijawahi kuwa na mvuto. π