Uzi special kwa ajili ya Kaka yangu Gudume

Uncle Joh

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
50
Reaction score
42
Leo katika pitapia zangu mitaa ya Mugabe hapa Sinza nikiwa natoka zangu Law School ghafla nakutana na ukuta umeandikwa "Parking at Owner's Risk" ghafla nakumbuka uzi wa brother Gudume na style yake ya kingkiki chungulia.
Nimekuja kugundua story nyingi za Gudume ni chai aisee ile hotel hakuna mwanamke anaejielewa anaweza akaingizwa pale aisee halafu sijui kwann imeandikwa hotel maana ile ni sawa na gest bubu, kwa yale mabandiko yako sijui unaenda kufanya kazi sehemu flani unafikia hotel, sijui unapewa kiasi flani cha hotel hapana aisee, ile hotel hata kondakta wa daladala hawez mpeleka demu wake labda kama unatuandikiaga mabango ili tufrahie.

Halafu pale ulikua unaipigaje ile style ya 'chungulia'maana ukuta wa hicho kihotele umefunika kabisa madirisha kiasi kwamba hata ukipanda juu ya kiti ukiwa chumbani huwezi kuona nje ilipo parking, sasa mzee baba wewe ulikua unachunguliaje?
Gudume na Demiss wote nyie nawajua vizuri hebu punguzeni sasa fix zetu
 
Ahaaa wameumbuka?
 
Hivi unadhani watu hawajui kwamba zingine humu ni chai? Siku nyingine hapa JF ni entertainment tu.
 
Back
Top Bottom