Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco.
"Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao wanavyojituma"
Mdau mwingine naye alitoa maoni yake.
"Hili siyo litimu la Taifa ni litimu la CCM. So wacha CCM ifungwe"
Tuendelee kujadiliana kuhusiana na team yetu ya Taifa.