Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyu mtanzania ambaye ana matumaini mema.Kwa namna yoyote ile Taifa Star inaenda kuweka rekod Afrika.
Wanapeana maulani tuu... Mpira ukishatoka kwa wenye ujuzi ukahamia kwenye siasa hamna development yoyote mtapataNgoja leo tuone juhudi za wahamasishaji wanadhani mpira wa miguu ni kujaza uwanja.
Wacha tukaone siasa mpirani zitatufikisha wapi.Wanapeana maulani tuu... Mpira ukishatoka kwa wenye ujuzi ukahamia kwenye siasa hamna development yoyote mtapata
Tutawasimanga sana"Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco.
"Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao wanavyojituma"
Mdau mwingine naye alitoa maoni yake.
"Hili siyo litimu la Taifa ni litimu la CCM. So wacha CCM ifungwe"
Tuendelee kujadiliana kuhusiana na team yetu ya Taifa.
Record ipi maana hata kufungwa goli nyingi ni record piaKwa namna yoyote ile Taifa Star inaenda kuweka rekod Afrika.
CCM Stars vs Morocco. Tuone kama wanaweza ufisadi hadi kwenye mpira ili kushinda mechi."Leo inaanza match ya kwanza kwa kupokea kichapo kutoka Morocco."
Haya si maneno yangu ni maneno ya mdau mmoja ambaye alikuwa anaongea kwa kutabasamu kabisa akijinasibu kuwa yeye anashabikia Morocco.
"Litimu letu halina mori kabisa. Wacha lifungwe tu maana halijitambui. Lingeangalia wenzao wanavyojituma"
Mdau mwingine naye alitoa maoni yake.
"Hili siyo litimu la Taifa ni litimu la CCM. So wacha CCM ifungwe"
Tuendelee kujadiliana kuhusiana na team yetu ya Taifa.
rekodi ya kutopata point hata mojaKwa namna yoyote ile Taifa Star inaenda kuweka rekod Afrika.