"Uzi Tayari" in maana gani?

No Escape2

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
228
Reaction score
323
Hivi hili neno lina maana gani hapa JF? Kila nikijaribu kulitafsiri nashindwa kujua. Naliona kwenye comments nyingi ila sielewi.
 
Ni kama hivi wewe, ulivyoandika 'uzi tayari'. Yaani tayari watu wataanza kuchangia
 
Nadhani ni vijimisemo tu vya hapa na pale, ambavyo vinaibuka na kutoweka.
Sioni kama ni jambo la kutumia akili nyingi kulifikiria mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…