You're too old for this Mkuu, haya ni mambo yetu vijanaNitauelewa huu uzi baadae
Nifumbue machoYou're too old for this Mkuu, haya ni mambo yetu vijana
Kuna trend ya ku screenshot conversation za ugomvi/matusi kwenye social media na kuziunga pamoja ili watu wasome na wacheke, ni kama kwenye Tv katika mechi ya mpira likifungwa gori huwa wanarudiaNifumbue macho
Hatari sio poaHuyu jamaa anayeiendesha account ya spana & V.A.R movement kule twitter anaitendea haki
Mzee wa vawulence