Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Uzi unaobeba michoro ninayochora kwa mikono yangu na kazi ninazojaribu kujifunza katika Adobe Photoshop

Ivan Breaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2020
Posts
1,379
Reaction score
5,499
Kama kichwa kinavyosema hizi ni kazi za mikono yangu View attachment 2014441View attachment 2014442View attachment 2014443View attachment 2014444View attachment 2014445View attachment 2014446View attachment 2014447View attachment 2014448
IMG20210603221220-01.jpg
IMG20210603221122-01.jpg
IMG_20201106_080520.jpg
IMG_20201009_132418-01.jpg
IMG_20210625_121947.jpg
IMG_20210625_121929.jpg
BBB.jpg
2339748.jpg
1.......Glass%20wal%20logo%20silver%20color.jpg
GHG.jpg
Shopping_Concepts_16.jpg
Creative%203D%20Logo%20Mockup%20by%20GraphicsFamily.jpg
14.jpg
Isolated_White_Cap_Mockup.jpg
REPLACE%20THIS%20SCREEN111121117111111111112.jpg
Logo_mockup.jpg
Synthwave%2080s%20Text%20and%20Logo%20Effect.jpg
5577944.jpg
2QQ.jpg
NNNNN.jpg
1.jpg
a.jpg
Z008.jpg
AAAAA.jpg
CHAAA.jpg
DA.jpg
EDSON.jpg
 
unajitahidi sana kwenye kuchora dogo
nakumbuka pale standard 7, nlishika namba 1 , kwenye competition ya kuchora na kuandika Insha nikaambiwa.

Tukaambia tatu bora wa kwanza watakwenda Egyt
Mpaka leo hii naona nipo na mohammed salah hapa tunapiga picha kwenye Pyramid😅😅😅😅😅
 
unajitahidi sana kwenye kuchora dogo
nakumbuka pale standard 7, nlishika namba 1 , kwenye competition ya kuchora na kuandika Insha nikaambiwa.

Tukaambia tatu bora wa kwanza watakwenda Egyt
Mpaka leo hii naona nipo na mohammed salah hapa tunapiga picha kwenye Pyramid[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkubwa, kwa kipaji cha kuchora tu umeweza kusafiri nje ya nchi?
 
Nisafiri wap , nlipewaga tu ahadi saivi nipo hapa hapa na mara ya mwisho kuchora nimesahau ilikuwa mwaka gani [emoji28][emoji28] mfumo wa maisha umenipelek kwingine kabisa
[emoji1][emoji1][emoji1] Aah sawa nasubili na mimi nione mfumo wa maisha utanipeleka muelekeo upi
 
Uko vizuri kwenye kufanya mock up ..Una muda gani ?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mock up nilijifunza kwa muda wa week moja tu nikafanya baadhi ya kazi lakini ilikuwa kwa kujifunza sikufanya kwaajili ya kunilipa na mwezi haukuisha vizuri Laptop niliyokuwa nikitumia ikaharibika ndio maana ikabidi tu nihamie kwenye kuchora kwa mkono nikusubiri Laptop ipone niendelee na Adobe Photoshop
 
Back
Top Bottom