Ivan Breaker
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 1,379
- 5,499
Mkubwa, kwa kipaji cha kuchora tu umeweza kusafiri nje ya nchi?unajitahidi sana kwenye kuchora dogo
nakumbuka pale standard 7, nlishika namba 1 , kwenye competition ya kuchora na kuandika Insha nikaambiwa.
Tukaambia tatu bora wa kwanza watakwenda Egyt
Mpaka leo hii naona nipo na mohammed salah hapa tunapiga picha kwenye Pyramid[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nisafiri wap , nlipewaga tu ahadi saivi nipo hapa hapa na mara ya mwisho kuchora nimesahau ilikuwa mwaka gani 😅😅 mfumo wa maisha umenipelek kwingine kabisaMkubwa, kwa kipaji cha kuchora tu umeweza kusafiri nje ya nchi?
[emoji1][emoji1][emoji1] Aah sawa nasubili na mimi nione mfumo wa maisha utanipeleka muelekeo upiNisafiri wap , nlipewaga tu ahadi saivi nipo hapa hapa na mara ya mwisho kuchora nimesahau ilikuwa mwaka gani [emoji28][emoji28] mfumo wa maisha umenipelek kwingine kabisa
Asante sana [emoji120][emoji120][emoji120]Uko vizuri. Hongera sana.
Mock up nilijifunza kwa muda wa week moja tu nikafanya baadhi ya kazi lakini ilikuwa kwa kujifunza sikufanya kwaajili ya kunilipa na mwezi haukuisha vizuri Laptop niliyokuwa nikitumia ikaharibika ndio maana ikabidi tu nihamie kwenye kuchora kwa mkono nikusubiri Laptop ipone niendelee na Adobe PhotoshopUko vizuri kwenye kufanya mock up ..Una muda gani ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app