Wadau habari?
Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa.
Mwenye kuweza kutoa darasa nasubiri kutoka kwenu wakufunzi. Hata maandalizi ya supu yake tu itasaidia kujua.