Mi nachana wewe cheche zinatoka, nikiwaka naweza kumgeuza fid q kuwa sajnaKa uliskia mi sifai hii ni evidence
Kibao mile moja mi ni 8 miles, Eminem
Na muoga ndo anashika tunguli
Nishashika moja kamwe siwezi kushika sifuri
Sahau hoja za vioja zilizozikwa kivuli
Mi ni bleed mwana siwezi kufichwa na kufuli
#Proud_to_be_A_domo_ZEGE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa princemikazo ati unataka battleWoodahh nahitaji freestyle battle na jombilai oote umu ndichile tukiwashe kwa fas dwalala asee..!!
Kunfuu raper sarakasi vita ya kalamu na karatasiwauaji wanahoji nna roho ngapi/wakiniua sifi mi nnachojua nna roho safi
naughty by nature -feel me flowKama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.
Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi. Asanteni
naughty by nature -feel me flowKama heading inavosema hapo juu huu ni uzi wa Hip Hop comment mstari wowote wa ngoma yeyote kutoka kundi lolote iwe ya Hip Hop
Naanza mimi
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana/
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana/
Hatujuani kwa sababu tunatengana/
Dunia ni pana walimwengu hawana mana.
Karibuni wakuu ikipatikana na picha yeyote itapendeza zaidi ili kunogesha uzi. Asanteni
Ok Nina ma GB ya bure usiku huu wacha nisikie kazi
WAUNGWANA.. NAOMBA TUSIKILIZE NA HII KUANZIA UJUMBE, MPANGILIO WA MASHAIRI PIA MTINDO WA KURAP... KISHA TUTOE MAWAZO... TUSIPUUZE WAUNGWANA TUSIKILIZE KISHA TUCHANGIE MAWAZO..
Gusa Link Hapo Juu na Hapo Chini pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kweli kwa uwezo Kuna kipande nimekielewa.eti ana pata kick kwa uwezo wa ndikumana