Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Posts
1,946
Reaction score
2,822
Nianze kwa kuwapa pole wana JF wenzangu kwa majukumu ya kila siku, napenda kusema tuendelee kupambana na hali zetu pasipo kukata tamaa.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutuoa yale ya moyoni. Tupo katika jamii ambayo ina watu wenye tabia tofauti tofauti, tuna ndugu jamaa na marafiki ambao wamekuwa na tabia ambazo hazitupendezi kwa namna moja ama nyingine hatufurahishwi nazo hivyo kupitia uzi huu kuliko kukaa nalo rohoni ama kumteta mtu funguka hapa tabia usizozipenda. Hii itatusaidia kujirekebisha kwani miongoni mwa tabia zitakazo semwa hapa inawezekana mimi au wewe tunazo hivyo tutajua ni jinsi gani tunavyowachukiza wanaotuzunguka.

1.Mimi kuna hii tabia huwa inanichukiza sana tena siipendi, Tabia ya kuombwa pesa na mwanamke kihasarahasara kisa tu ni mpenzi wangu, utasikia "baby NATAKA pesa ya mchango wa harusi".. Pambaaaf pesa yangu badala ya kuomba unasema "NATAKA"... Sipendi
2.Tabia ya washkaji kupigana mizinga kiholela holela, tupigane mizinga kwa sababu maalum unaumwa, umefiwa nk lakini sio "oyaa nitoe 5000 nipige hata BEER mbili mwanangu"... sipendi

Yangu mimi ni hayo. Sema na wewe usichopenda/kinachokuudhi

Karibu.
 
It n get n go home for back do f so he d be too know g in hdj do my a big d anyj do iki to be go by j he d go igniyh do it if jk g in go I go k Koo f g if hi I'd to it so h

Na test mitambo
 
nakuback up suala la wanawake kuomba omba hela kama vile za kwao au wamekusaida kutafuta...... mi ndo mana nawafinya tu nawaacha wanaumia ila mpaka wakijua tatizo nini basi wanakua wameshadoda

Sent using Jamii Forums mobile app
wanazinguwa mkuu mtu anataka as if alikupa umshikie. Si dharau hizi bro
 
Kweli naonaga ni ukatili kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mimi sipendi kununuliwa bia popote pale eti unitwange bia nami nikutwange bia kweli uwa inanikera,mimi natoka home nimepanga kunywa bia mbili tu kwa bajeti yangu,so mimi ukiniagizia bia imekula kwako,ukinigizia zaidi ndo imekula kwako zaidi,nikiona zako zimeisha ndo naendelea kujiagizia zangu mbili huyo home kusudi siku nyingine husinizoee,hakuna kitu kinamaliza pesa kama bear za kuzungushiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee mimi sipendi kununuliwa bia popote pale eti unitwange bia nami nikutwange bia kweli uwa inanikera,mimi natoka home nimepanga kunywa bia mbili tu kwa bajeti yangu,so mimi ukiniagizia bia imekula kwako,ukinigizia zaidi ndo imekula kwako zaidi,nikiona zako zimeisha ndo naendelea kujiagizia zangu mbili huyo home kusudi siku nyingine husinizoee,hakuna kitu kinamaliza pesa kama bear za kuzungushiana

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂 vikao havikufai mkuu hahahaaa
 
Back
Top Bottom