Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Mimi sipo huko. Nimeona bora nianzishe uzi bure ili tutafute suluhisho ambalo halitatuumiza. Haya mambo tumewaachia wanasiasa wasio na ujuzi na wala hawana uchungu na watu kwakuwa wanapata mishahara mikubwa 12m kwa mwezi na madili ya mabilioni.Ila tuambie kwanza kama ni mmoja wa mliotufikisha hapa, ili tusaidiane mawazo kwa nia njema.
Sehemu salama ni JF ndugu, liweke hapa tuNimalo wazo la uhakika na uzoefu ninao lakini kwanza nipate mahala salama pa kuliweka, ili lisitafusiliwe vibaya, hakika litaleta Tija mabadiliko makubwa pande zote za kodi
Weka tu wazo lako hapa. Tuokoe taifa letu yaani wazo lako ni la thamani kubwa mno.Nimalo wazo la uhakika na uzoefu ninao lakini kwanza nipate mahala salama pa kuliweka, ili lisitafusiliwe vibaya, hakika litaleta Tija mabadiliko makubwa pande zote za kodi
Nikajua unaleta vyanzo kumbe unasubiria wakuwekee? Sasa umewekewa tozo za simu na mafuta hakuna kulia liaNaweka kambi hapa
Nakuona "Mwigulu" umekuja kujitetea hapa na ID nyingine.Hakuna kodi iliyowahi kukubaliwa hata siku moja.
kodi ni must itozwe ama tutake au tusitake.
ulalamishi hauwezi kukoma.
Mkuu naomba kitengo hapo ofisini hali ni tete hapa mtaani. Natanguliza shukraniHakuna kodi iliyowahi kukubaliwa hata siku moja.
kodi ni must itozwe ama tutake au tusitake.
Ulalamishi hauwezi kukoma.
Kwani wale wa matrilion tumemalizaje nao?Rasilimali zetu za asili zimeisha? hebu tuanzie hapo kwanza!
Huku najua fisi na hata wanyama wasio winda watajitokeza humu.Mtoa mada si ungeanza wewe kutoa ilo wazo lako ili tuone kama linaweza kuwa mbadala wa miamala ya simu
Ndugu yangu haya mambo hayana wepesi huo.Rasilimali zetu za asili zimeisha? hebu tuanzie hapo kwanza!