COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,821 Jul 15, 2021 #21 Hivi Hawa wanasiasa wanao pitisha makato nao wanakatwa kweli?
Masterplaner Senior Member Joined Jul 30, 2020 Posts 121 Reaction score 184 Jul 15, 2021 #22 Bangi serikali iliangalie vizuri zao hili watu wanapiga pesa ndefu bila kulipa kodi sheria zilekebishwe ikiwezekana bangi ilimwe kibiashara iuzwe nje ya nchi
Bangi serikali iliangalie vizuri zao hili watu wanapiga pesa ndefu bila kulipa kodi sheria zilekebishwe ikiwezekana bangi ilimwe kibiashara iuzwe nje ya nchi
Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 881 Reaction score 942 Jul 15, 2021 #23 Kutuma Milioni 1 kwenda KWa mtu aliye Moro kutoka Dar KWa MPESA Bora upande Gari uipeleke... Nauli GnR n 15000
Kutuma Milioni 1 kwenda KWa mtu aliye Moro kutoka Dar KWa MPESA Bora upande Gari uipeleke... Nauli GnR n 15000
Leloo June JF-Expert Member Joined May 5, 2016 Posts 1,001 Reaction score 933 Jul 17, 2021 #24 Opportunity Cost said: Kuna kodi isiyoumiza? Lini mtu akawa hiari kulipa kodi? unachekesha wewe Click to expand... Wewe mzee umekazana sana na haya mambo ya kodi mbona nyie wabunge amna hizi kodi za ovyoovyo?
Opportunity Cost said: Kuna kodi isiyoumiza? Lini mtu akawa hiari kulipa kodi? unachekesha wewe Click to expand... Wewe mzee umekazana sana na haya mambo ya kodi mbona nyie wabunge amna hizi kodi za ovyoovyo?