B Bianconeri Senior Member Joined Nov 24, 2019 Posts 113 Reaction score 75 Jan 22, 2020 #1 Uzi huu ni wakueleweshana sheria za mpira wa miguu pamoja nakutoa update za mabadiliko pamoja na sheria mpya. Naomba kwa mwenye ufahamu kwa nini match ya jana Chelsea vs Arsenal kwa nini refree alimpa Luiz sraight red card na akatoa penalt?
Uzi huu ni wakueleweshana sheria za mpira wa miguu pamoja nakutoa update za mabadiliko pamoja na sheria mpya. Naomba kwa mwenye ufahamu kwa nini match ya jana Chelsea vs Arsenal kwa nini refree alimpa Luiz sraight red card na akatoa penalt?