Huu ni uzi wa kujibu hoja bila kuweka hitimisho,yaani kuiacha hoja hewani hewani,na itakuwa vizuri zaidi kama haitaeleweka.
Zingatio :
Chunga heshima za watu,tumia lugha nzuri na tusitiriane.
Kuna sababu zaidi kuu mbili zilizo nipelekea kuandika uzi huu. Sababu ya kwanza,sababu hii ya kwanza nitaielezea nikiwa naelezea sababu ya pili.