LenaldMinja
Member
- Oct 3, 2017
- 7
- 9
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiofu kijanaWatu wasiojulikana wameanza duh!!!
Comment unapoishi ili umpate na mwenzako mnaokaa mahali pamoja mimi naanza
kimara mwisho dar es salaam...√
Daah tupo karibu mzeeBunyokwa kwetu
Daah tupo karibu mzee
Hapana pale matungucha kwa mbele mtaa wa tanescoKimara mwisho pande zipi njia ya makambini,matungucha unapajua
Nimekupa like yangu lkn kishingo upande[emoji35]Uwanja wa Ndege Dsm
Raha ya jf ni kutokujuana!Comment unapoishi ili umpate na mwenzako mnaokaa mahali pamoja mimi naanza
kimara mwisho dar es salaam...√
Mbebizi kumbe na huku upo[emoji39] nimekuham embu njoo timiza wa jibu wako uje kuleeee[emoji124]Nipo kwenye nissan nyeupe ndipo napoishi.