Uzi wa kukiri na kuombana msamaha kwa makosa mbalimbali ambayo tulitendeana tukielekea kufunga mwaka 2024

Uzi wa kukiri na kuombana msamaha kwa makosa mbalimbali ambayo tulitendeana tukielekea kufunga mwaka 2024

Mimi naomba anisamehe yeyote niliyemkosea kimawazo, kifikra hata kimatendo pia humu JF.

Mungu ambariki! 🙏🏾
 
Sema kabisa na kosa lenyewe.
Kama ulizini, wizi, uaji, uliteka,.

Msamaha mzuri ni ule wenye ushuhuda utakao wafundisha wengine.

Twambie uliiba kura ili ushinde na sasa unakula mema ya nchi.
 
À
Sema kabisa na kosa lenyewe.
Kama ulizini, wizi, uaji, uliteka,.

Msamaha mzuri ni ule wenye ushuhuda utakao wafundisha wengine.

Twambie uliiba kura ili ushinde na sasa unakula mema ya nchi.
Mleta mada mbona kama kautelekeza Uzi wake

Akuje atupe shuhuda
 
Amini kwamba upo hapa kwa kusudi maalumu
Amini kwamba hakuna kinachodumu milele hata matatizo yetu
Amini kwamba nuru itashinda giza
Amini kwamba upendo utashinda chuki
 
kuna member nilimsema kuwa anamdomo mkubwa kama wa kiboko naomba anisamehe bure niliteleza!.

mwengine nilimfananisha na ngiri..! nikasema yeye na ngiri ni mtu na mtuye! naomba msamaha kasongo!.

huyu wa mwisho ni mdada pisi kali baada ya kunikataa kwa hasira nikahamaki nikamuita yeye ni ndama!
nisamehe pia sitarudia!.
 
Mimi , siombi msamaha wowote , I believe if I used to be wrong Karma itanipa haki yangu.
 
Back
Top Bottom