Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mleta mada mbona kama kautelekeza Uzi wakeSema kabisa na kosa lenyewe.
Kama ulizini, wizi, uaji, uliteka,.
Msamaha mzuri ni ule wenye ushuhuda utakao wafundisha wengine.
Twambie uliiba kura ili ushinde na sasa unakula mema ya nchi.
Ni uungwana kuomba msamahaMimi , siombi msamaha wowote , I believe if I used to be wrong Karma itanipa haki yangu.