ItakuaKwahiyo akili yangu umeivuruga
HahahaBabee hivi hujamzoea sakayo unajua kwa nini amekuita janjaro
HahahaAiseee yani hiyo ya janjaro naitafakari mara mbili mbili
Mwenyewe nalala sasaHapana me natoka
Hahah! Sakayo tena namuaminia sana kwa swala la ulinziTutoke basi sio urudi ukirudi sakayo ataniambia tu
HahahaKama watamkula atakuwa ametaka ye mwenyewe kukulwa
Eeh!Babe
Hahah!!Ewaaaaa
Shemu agiza mapupu ntalipa aki.... Woyooooo
Mbona hv leo hivi vicheko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatususia uzi wakoUsiku mwema wadogo zangu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unafurahia kutetewa wakati mkeo wivu umenijaa hapa,sijui ninuneNdio napokupendea hapo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] wew na davet mtakua walezi wa ndoa
Njoo chumbani tuongee plzNdio napokupendea hapo...[emoji23] [emoji23] [emoji23] wew na davet mtakua walezi wa ndoa
Hahah hili swali la uchochez shemShem ake, ulisema shunie alidata na nini vilee
MmmhHahah!! Hakika atakua katika mikono salama tukimuacha kwako
Mmeuvuruga akaona akwende tuuUnatususia uzi wako
HahahaHahah hili swali la uchochez shem
Asante shemShem darling asante sana na kwako pia