Hahahaah
Si umeona amekuwa na maneno mingiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe ananishangaza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aiseeeh!!Hahaha
Nikajua wewe ndio ume muinfluence hakuwa na maneno hivi huyu
Wewe si unatumia sweet wine....Aiseeee sinywagi hizo mambo
Mi mwenyewe nilikuwa kule kule ulipo kuwa kimawazo [emoji1]Dooh niliwaza mbali mie
Asante sana Mziguo OG [emoji11]Nyani Ngabu
Cephalocaudo
Saint Ivuga
Bonny
Shunie
Jolie Jolie
Urumrawi
Don Clericuzio
Mr Miller
Iceman 3D
Hearly
Davet
Kurlzawa
Mtu Chake
Figganigga
Sakayo
Tee Bag
Naendelea
Ndio mana nakupenda D wangu mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mwanaume uliyezaliwa kwa ajili ya shunie me ndio najua uanaume wakoHapana mkuu watazoea tu tena mama yao mdogo nilienae alivyo onfire basi wataelewa vizuri zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaa.. mji huu ukiwa mbaya umetaka.
hata 5 bora haupo lkn [emoji12][emoji12][emoji12][emoji8]
Thanks
Hapa sawa niko group la kwanza
Ehehehe
Hata sweet wine situmiiWewe si unatumia sweet wine....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mule mule ulivyowaza weweMi mwenyewe nilikuwa kule kule ulipo kuwa kimawazo [emoji1]
Kama nakuona hivi ulipo kuwa
Duuh ww ni maji ama...Hata sweet wine situmii
[emoji23][emoji23].. Mkuu nakuona unataka kujipigia pass ya kisigino sasa eeh!!?
peke yake!!Kweli Ney nilimwambia akawaone wazee
Fanta orangeDuuh ww ni maji ama...
Babe achana nao mapenzi yako moyoni sio kupost[emoji23][emoji23].. Mkuu nakuona unataka kujipigia pass ya kisigino sasa eeh!!?
Shunie namuandalia walaka ili niushushe hapo baadae
Hahah!! Mkuu hili ni vibe la pasaka tu bhn ngoja ikiisha na mm nafyata mkiaAhaha
Ww ndio ume msababisha dogo awe hivi nadhani
Pasaka njema kiongozi wangu, nmekuona juu juuMama Yeyooooo, hauogopi hata Pasaka!!
Sawa best ngoja niendelee kuzishusha taratibu [emoji39] [emoji39] [emoji39]Fanta orange