Jamani kosa langu nini shunie mm iceman ujue Mungu kanishushia Davet yaan kazaliwa kwa ajili yangu tu jamani niacheni nile raha[emoji23]
Haaaa! Jamaniii hebu mtuhurumie
Sio kwa virungi hvo mnvo tupiga
Hahahahawanasemaga "pambana na hali yako" hahaha
HahahahaaJamani kosa langu nini shunie mm iceman ujue Mungu kanishushia Davet yaan kazaliwa kwa ajili yangu tu jamani niacheni nile raha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aliniacha mwenyewe jamani na miwivu yake nimeomba msamaha wapiiii tena nimeachwa mbele ya sakayo jukwaaniHahaha
Aliye wahi kuwa-----------
Naona unampa wosia mrithi wako bhana
Ayamezeee jamani nampenda D wangu moyo wangu unamsukuma Davet tu [emoji8]Hahahahaa
Woyoooool!
Hayo maneno Davet anatamani ayanywe amezee na maji kabsa
[emoji1] [emoji1]Oh nakupenda pia bebii
[emoji2][emoji2][emoji2]take care of my braza, ila kumbuka lazima aje na Ney
Huu ni uchoyo jamani khha!!wewe msubirie carba bwana, na mm sikupi location
Aaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo aliniacha mwenyewe jamani na miwivu yake nimeomba msamaha wapiiii tena nimeachwa mbele ya sakayo jukwaani
uchoyo ganii?Huu ni uchoyo jamani khha!!
Pasaka njema MOTPNashukuru sana mkuu. Niwasilishie salamu zangu kwa ndugu na jamaa woooote kila jukwaa.
Jifunze na kufuzu kumhimili Shunie sio kazi ndogo. Ni rafiki mzuri lakini
Am outAyamezeee jamani nampenda D wangu moyo wangu unamsukuma Davet tu [emoji8]
Kumnyima Iceman locationuchoyo ganii?
Nisha mwambia tutakuepo wenyewe tu si Ney hayupo[emoji2][emoji2][emoji2]
Asipokuja na ney nimrudishe??
Moud upoooo miss u[emoji1] [emoji1]
Namtakia pasaka njema In haNakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi baba yeyoo una nini jamani me na we tumetoka mbali ukuje dar nikuone halafu ukuje na maubuyu si unajua vile napenda
Ukuje iceman unaenda wapi lakiniAm out
[emoji125]