Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya.
Karibuni sana tupeane maarifa.
Mfano matatizo kama:
1. Uzito mkubwa unaohatarisha maisha.
2. Kujikinga na magonjwa kama sukari, hbp, n.k
3. Vyakula vinavyotakiwa katika umri fulani.
4. Mazoezi bora ya viungo kwa jinsia na umri.
5. Kujikinga na msongo wa mawazo.
6. Namna ya kujenga akili kwa kupunguza kuongea.
7. Afya ya meno na uwezo wa kuzungumza.
n.k, n.k.