Moneytwister
JF-Expert Member
- Jul 22, 2022
- 302
- 999
Huu uzi maalumu kwa forex traders wapambanaji wote wanaotrade forex market lengo ni kushare ideas mbali mbali na kushtuana kwenye setup za nguvu[emoji123]
Kama huusiki na hii biashara usichangie chochote fanya mambo mengine kuna mambo kibao yakufanya
Na ni vizuri ukitoa setup itolee maelezo kidogo
Lengo ni kusaka tonge, narudia tena kama huusiki usiingie humu[emoji419]