Uzi wa kupeana Updates ya bei za mazao

Uzi wa kupeana Updates ya bei za mazao

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February.

1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg
2. Mahindi Gunia Tsh 70,000
3. Maharage ya njano Tsh2000/kg
4. Vitunguu Tsh 210,000 kwa gunia la debe 8
5. Nyanya kwa tenga Tsh 20,000.
 
Vipi kuhusu ufuta,alizeti,karanga na macadamia nut?
 
Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February.

1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg
2. Mahindi Gunia Tsh 70,000
3. Maharage ya njano Tsh2000/kg
4. Vitunguu Tsh 210,000 kwa gunia la debe 8
5. Nyanya kwa tenga Tsh 20,000.
Naskiaga mkoan kuna maisha rahisi. Sasa mchele iringa ni 2000 akati Dar unapata mchele supa kwa 1900. Huo urahisi wa maisha huko mkoan uko wapi?

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom