Naskiaga mkoan kuna maisha rahisi. Sasa mchele iringa ni 2000 akati Dar unapata mchele supa kwa 1900. Huo urahisi wa maisha huko mkoan uko wapi?Naomba kuanza kwa kuweka bei za mazao mbalimbali kwa mkoa wa Iringa kwa mwezi February.
1. Mchele super Tsh2000-2200/ kg
2. Mahindi Gunia Tsh 70,000
3. Maharage ya njano Tsh2000/kg
4. Vitunguu Tsh 210,000 kwa gunia la debe 8
5. Nyanya kwa tenga Tsh 20,000.
sasa mkuu tumia akili kidogo basi, iringa wanalima mahindi na siyo mpungaNaskiaga mkoan kuna maisha rahisi. Sasa mchele iringa ni 2000 akati Dar unapata mchele supa kwa 1900. Huo urahisi wa maisha huko mkoan uko wapi?
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Imebidi ku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mkuu tumia akili kidogo basi, iringa wanalima mahindi na siyo mpunga
iringa mchele wana import kama ilivyo kwa dar