Habari wanajamvi,
Naomba mnisaidie hili jambo,ninahitaji kuanzisha biashara ya kuuza uzi (kwa jumla) wa kufumia au siku hizi wanashonea nywele,tatizo sijui kiwanda kilipo,kariakoo nikienda wataniuzia jumla pia kwa hiyo wateja wangu ntawaumiza,sasa naomba msaada wa kufahamishwa kama kuna kiwanda hapa bongo au huu uzi unapatikana vipi kwa jumla ili nami niweze kuuza jumla kama wanavyouza kkoo.