Uzi wa Kutafuta Hela

Uzi wa Kutafuta Hela

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa kiswahili).

Mfano.

1. Tafuta hela gas inaivisha maharage
2. Tafuta hela pisi kali zinalika na kila mtu
3. Tafuta hela Serengeti ipo Mara
4. Tafuta hela Bolt ni kama bodaboda

Weka ya kwako sasa tuendelee kuhamasishana kutafuta hela.
 
Dah mnazidi kutupatia stress tufike mbinguni tumechoka
Anyway acha nitafute hela laki sio pesa
 
Back
Top Bottom