Uzi wa kutafuta mume/mke

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Huu uzi ni kwa ajili ya watu walio siriazi tu.

Tunajua mapenzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya mwanadamu, bila mapenzi Dunia ingekuwa ni sehemu ngumu pa kuishi. Kuna waliofiwa na wake/waume, au mtu amefikia umri wa kutaka kupata mwenza, ni vizuri kutumia uzi huu kufanikisha hitaji lako.

Kama kuna mdada au mkaka hapa JF anayeteka hisia zako, jaribu kumuita hapa jukwaani na umweleze hisia zako, kabla ya kwenda huko PM. Mambo ni waziwazi kwa afya ya uhusiano wako.

Karibuni.

Na anayeitwa ajitokeze, kukaa kimya sio ustaarabu. Heshimu hisia za mwenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…