Gari zako za ajabu ajabu sana kuna ile nyingine ile daaaah huwa nacheka tu
Sent using Jamii Forums mobile app
What the heck...Nami mungu ikimpendeza mwakani mwezi kama huu au adi watano nitakiwa na hii kituView attachment 1057566
Ha ha haaaa! Haya mkubwa nimekupata, malengo yamejaa tele pimoni!mkuu uwe una malengo sio ndoto hahah unazingua
Hongera sana mkubwa! BMW nawaelewaga sana! Ngoja nisote na hawa Toyota kwanza, one day na mie tamiliki BMW!Poleni mi nishaifikia I think na BMW X M-spot 2014 , kwa Sasa nipumzike kwanza kabla ya kuikaribisha ndoto nyingine kaaah roho yangu imetulia hapaView attachment 1064512
Sent using Jamii Forums mobile app
This is new to me asee!Ukiangalia neno RANGE ROVER iliyoko mbele kwenye bonnet hizo R ziko tofauti kwa ukubwa yaani kila moja ni size tofauti na nyingine
Ni kwa sababu ya bonnet kupinda shape
Sijui kama umenielewa View attachment 1064513
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hii ukipita nalo Ngerengere si wanakusumbua kweli??View attachment 1064515hiyo hapo.
[emoji1] [emoji13] [emoji13]Kuna member wa humu aliwahi kuniambia kwamba gari zangu na avatar yangu iliwahi kusababisha akatapika pizza aiseeee....tehteehh
Hizi kitu umenikumbusha mbali sana! Kuleee kwa Mrombo!Na sisi wenye ndoto za kumiliki baiskeli za Phoenix, Avon
Tunaruhusiwa kuweka tupicha ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu mtambo ukifika Tanzania umiliki wako utaishia pale Bandarini.Mtambo wa kirusi hakuna kulala nikiupata huuView attachment 1064891
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli mkuu imetulia sana kama land rover tu
Au mpakani kulindaMkuu huu mtambo ukifika Tanzania umiliki wako utaishia pale Bandarini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umesaidia serikali kununua kifaa cha ulinzi.Au mpakani kulinda
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
A satisfied need is no longer the motivator!Nilitamani sana kupata Harrier baada ya kuwa nalo limenikinai kinoma
Natamani kuwa na Hilux
Sent using Jamii Forums mobile app