Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Hiyo ya kibao cha jiwe la msingi nimeipenda sana. Nafikiri mawe ya msingi huwekwa na mafundi sio mtu mwingine!
 
Fundi maiko bingwa wa kuziba ufa,
Mtaalamu wa kukwua vigari vilivyokwama

Bingwa wa alarm
 
Wakuu huwa mnasikia tu fundi maiko fundi maiko, yule bwana aliejipambanua kupitia bango hili la uzinduzi
Bas huyo bwana ndo huyu hapa
Na haya ndo makazi yake
Pia hii ni moja ya kazi zake huyu bwana fundi maiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Attachments

  • IMG_20190908_165734_797.jpeg
    28.7 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1568096151107.jpeg
    25.4 KB · Views: 32
Write your reply...
Fundi maiko namuona ana masihara na baharia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…