Uzi wa kutupia kazi za Fundi Maiko

Fundi Maiko Mwarobaini wa tatoo kataka yeye halafu kulia analia yeye utafikiri kalazimishwa.Hapa ni baada ya kurudi Msamvu akitokea ULAYA ameamua kuchora tatoo ya kumbukumbu baada ya kumuona wameamua wamemsamehe bure.Tunawashukuru wote mliotusapoti wakati tukiwa tunamtafuta

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…