Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Nikianza na mimi mwenyewe nakumbuka kuwa tulikubaliana
1. Hakuna kumtumia mwanamke nauli,kama nauli tutalipa akifa.
2."Hakuna kuoa mwanamke aliezalia nyumbani"
3.Hakuna kutuma na hela ya kutolea
NIMESAHAU MAKUBALIANO MENGINE TULIOYOKUBALIANA KWENYE KIKAO NAOMBA WANAUME TUKUMBUSHANE MISIMAMO NA MKUBALIANO YETU KWENYE KIKAO CHETU CHA MWISHO.Karibuni.