Uzi wa kutupia makubaliano tulioafikia kwenye kikao chetu cha mwisho

Billie

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
13,588
Reaction score
22,752
Nikianza na mimi mwenyewe nakumbuka kuwa tulikubaliana
1. Hakuna kumtumia mwanamke nauli,kama nauli tutalipa akifa.
2."Hakuna kuoa mwanamke aliezalia nyumbani"
3.Hakuna kutuma na hela ya kutolea
NIMESAHAU MAKUBALIANO MENGINE TULIOYOKUBALIANA KWENYE KIKAO NAOMBA WANAUME TUKUMBUSHANE MISIMAMO NA MKUBALIANO YETU KWENYE KIKAO CHETU CHA MWISHO.Karibuni.
 
Mchumba hasomeshwi
 
tutawaua tunao-wasomesha pindi wamalizapo kusoma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tutawaua tunao-wasomesha pindi wamalizapo kusoma.
 
Asipokojoa ndani ya dk5, atakojoa njiani wakati anarudi kwao😎
Tusichoshane!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…