Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hiyo sawa ,hapo umeniweza ,thanksNimekusubir sana upite hapa haya baba angu cha kwako hiki hapa
Uvae na ile Pensi tuende shamban kilosaa
Mbona umeficha juu mkuu unaogopa kujulikana na watu wasiojulikana hahaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tanesco watafanya yao hata usihangaikeShemeji shemeji zima taaaaa
Hicho cha chini hapo angalau kidgo japo naona kimewekewa mbwembwe nyingi,
Chagua hapo alafu usje kucheza sana ukamzid shemej yako sawaaa
Mkuu kuna watu vitu kama hivyo vinawaumiza na kuwakera sana...utaambiwa una act tuHahahaha, nilitaka nitupie navyoendaga navyo gym adidas $ 60 tu,naacha
Mbona umeficha juu mkuu unaogopa kujulikana na watu wasiojulikana hahaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hiki cha kwanza kabisa nakipata wapi
Kizuri ila suruali yakuvalia nacho ndio siipendi
Demiss akili kumkwichwaaaa
Sasa wewe ndio unavaa zangu