Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Mguu nao uwe mzuri sasa, vidole viwe vimenyooka, kucha ziwe zimekatwa vizuri, sio wenye machacha
Na hiyo rangi yako ya chotara wa kunyumba wewe unapendeza sana jaman najua
 
MKUU viatu ni ugonjwa wangu, nikikipenda huwa siulizi bei, vingi kati ya nilivyo viposti ninamiliki. ila sina hobby na raba kabisa labda za mazoezi tu.
Aiseee nikajua upo dukan tukufate kuna mtu kavipenda sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…