safi kabisa
Hicho kitu kimetulia sanasafi kabisa
Ningekuwa na mpenzi ningemnunulia hiki
Sina hata roboKwasababu UNA-WAPENZI huwezi kuwanunulia wote.
Naona upo bwalo unakata maji kama mambaKilicho mguuni hivi sasa
Asante kwa kunitoa tongotongo ndo kwanza nimelijua midoshomidosho ni fakes au copies zisizo zinazoshabahiana na genuine brands.