Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Picha zako za kutishaaa mm naogopa kulala
Uskonde utalala na Mimi mnyamwezi....hivi kwanza yule mganga anajua kupiga deki kule kusini kweli? Bondeni kule? I wanna make you Happy and less paranoid.

Usijali yale mapicha utayazoea tu! Mbona matunguli hukonayo comfortable tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…