Uzi wa kutupia picha za viatu vya kiume!

Air Force 1
 

Attachments

  • LRM_EXPORT_20180822_181953-01.jpeg
    261.1 KB · Views: 38
Vans, Polo, Zara, Fred Perry, St. John...ndio collection ya simple utaipata kwenye shoe rack ninayotumia...
 
Nimekukubali ww ni mzee wa CAT, nime kuuliza sa'bu na mm ndio naviamini sana, alafu ni unique napia bei zime simama Na huwez fananisha na Timberland, Sketchers wala Dickies even Landrover, PathFinder au πŸ‘‰(Renegade na Bronx ) japo hiz nimevaa sanaa

 
Hapo unaweka na upenzi aisee. Ninadhani hutegemea. Unaweza kukutana na Sketchers ,ukatafuta mfano wake huko CAT usipate .Na kinyume chake pia hivyohivyo, unaweza kutana CAT ukasema hakuna kiatu kama hicho. Mimi navaa mchanganyiko, kazi yangu kuchagua nitakachonogewa nacho.
 
Upo sahihi kiongozi, sa'bu kadri miaka inavyo kwenda na vitu hubadilika, hata ununue Gari nzuri au ngumu kiasi gani lkn baada ya mda itakuja kua si lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…