Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,008
Hahahahahahaaa mwenyewe anapenda kutuona tuna furaha na amani.....kwahiyo haina shidausicheke mchatle akikuskia utasbabisha tuanze kulipia kodi mpka vicheko..maana hataki kuona mtu akiwa na furaha
Hahahahhahahhhhhh tepetepe mlenda mlendaaa tetemeko mpaka kwenye..........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu na kaka akeeMama sabrina alimpelekea deo kisandu chai asubuhi nadhani itakuwa wamemuomba amtatulie deo ile shida yakee [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah[emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] Demiss huyo handsome wako alievaa kibwebwe umuwekee na mziki ss hahaha....Jolie Jolie umeniweza leo hahaha
Kumbe na wewe upo vizuri eeenh.....ngoja nianze kukufatilia sasa😉Cha mdeko usisahau kunitupia na mimi
Uwiiii mbona mnatumaliza love na hao wanaume
Hahaha huo wimbo ndo unaendana na hicho kibwebwehahaha ss naona unatafuta povu la Demiss [emoji23][emoji28][emoji23] handsome wake umeshamchagulia na wimbo tayari [emoji23][emoji28][emoji23]
Huyo wa kulia siku nikimuona nitamtongoza bila woga.Uwiiii mbona mnatumaliza love na hao wanaume
me mwenyewe handsome vile vile
Akituma uniite nije nimuone kama ni hb nianze kujiwekaHahahaha nasubir picha yake
Huyo kaka ni hatari.....kuna movie moja aliact sema sikupenda role aliyoplay ila alikuwa na swaga mpaka unatamani uingie kwa movieHuyo wa kulia siku nikimuona nitamtongoza bila woga.
Haaaaaa ummtotomlito do you remember me ?.Mmh hawa wanaume mahandsome huchelew kukuta wanapumuliwa.
Mchek kwenye being mary jane. Utadata nakwambia. Kaka mzuri kama umle hiviiHuyo kaka ni hatari.....kuna movie moja aliact sema sikupenda role aliyoplay ila alikuwa na swaga mpaka unatamani uingie kwa movie
Ni movie au series??? Kama movie leo nitaangalia usiku kwenye showboxMchek kwenye being mary jane. Utadata nakwambia. Kaka mzuri kama umle hivii