aiseee [emoji1][emoji1][emoji1]Huyo wa kulia siku nikimuona nitamtongoza bila woga.
Lala wewe acha kuwanga usikuNi movie au series??? Kama movie leo nitaangalia usiku kwenye showbox
haya basii nimegairiHahahahahaaaaa hapana bado tunakuhitaji
Tunacheza singeli au kigoma cha Uruguay [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji28][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji28][emoji23] Demiss huyo handsome wako alievaa kibwebwe umuwekee na mziki ss hahaha....Jolie Jolie umeniweza leo hahaha
na mm naonaTunacheza singeli au kigoma cha Uruguay [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
papa ya gigy ndio nn?Nimemchagulia papa ya gigy