Uwiii Ngoja nikamfollowView attachment 689137 wiliam Levy huyu mpaka nilimu unfollow napatwa wivu mpaka nikakoma aisee ,,nilikua sikosi kuangalia Marichui kisa huyu William daah kuna watu wanazaa jamani
Mi mwenyewe nasikia ana kibamia halafu kimoja chaliiiKasema unieleweshe
hahaaa eti zari hakumuona huyu..huyu maaaaa ana mawe mkuu ile mbaya..yupo top 10 list ya wasanii wenye Pesa Africa..so kwahiyo status atkuwa anamuona zari kama snura tuHapana van vicker mzuri lakin mfupi ila
Kuna huyu View attachment 689150 najiulizaga hivi zari hakumuona huyu kaka bank wiliam anatangaza pia coka ameoa huyu mkaka jamani huyo mwanamke dahaa ana bahati
Inna kaibiwa simu, katoka kwao arusha kaja dsm kakutana na wajanjaKwema kabisa, Mungu ni mwema.
Wapi Bundi mwenzangu Inna inapitwa na uhondo huku?
HahahahahaMi mwenyewe nasikia ana kibamia halafu kimoja chaliii
mzigua na mama s changamkieni fursa hio
Halaf kwao wazurii kweli ana kaka zake wewe nikiambiwa nichague nitaangalia mara mia mia,,kuna watu wamependelewahahaaa eti zari hakumuona huyu..huyu maaaaa ana mawe mkuu ile mbaya..yupo top 10 list ya wasanii wenye Pesa Africa..so kwahiyo status atkuwa anamuona zari kama snura tu
Hahahahahahhmzigua na mama s changamkieni fursa hio
saint Ivuga.Nashukuru sana sio siri namkubali sana mziguamzigua na mama s changamkieni fursa hio
hutaki?Hahahahahahh
m pesa inasoma lakini kijana .. tena ukimpa kilo tano tu ila ipitie kwangu , ngooja nikutumia namba yangu na anavyopenda mambo ya beach aisee utaenjoy sana.. isaint Ivuga.Nashukuru sana sio siri namkubali sana mzigua
afu ww kila nikitaka kukupiga mistari unaniruka ruka.. hadi nikununulie icecream ama?Uwiii Ngoja nikamfollow
m pesa inasoma lakini kijana .. tena ukimpa kilo tano tu ila ipitie kwangu , ngooja nikutumia namba yangu na anavyopenda mambo ya beach aisee utaenjoy sana.. i
Hahahahaaa..yani ninayo mengi sana.. kumbe hadi my best mama sabrina yupo alerted.. basi nitaanza kuyamwaga rasmi .. gudume cha mtoto.
Nilale ofisini kipenzi? Naanzaje?hivi mchana si unalala sana ww binti
daah, aisee atawehuka huyu dada yangu wa hiari..Hiyo atapata tu Bila tatizo kama atakbali kutulia Nami.Atafurahi sana maana beache kila weekend
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ukiwa mhandsome itaikuta tuMtu asije kutuma huku picha yangu bila idhini yangu.. Nitamfunga!!
Nashukuru kwa ushirikiano tuhutaki?