Tunatabu gani sie na Mama Sabrina ?Sijui niweka picha yangu hapa ila hawa wadada wawili hawa mama sabra na mzigua90 wanatabu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.Ya Kwanza kabisa
Mnapenda vizur mtaniandama sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tunatabu gani sie na Mama Sabrina ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna app hapo,hiyo ni IPhone 8 camera
Hatuwezi bwana.Mnapenda vizur mtaniandama sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tutumie na ya mzee ili tujue chanzo cha tatizo.View attachment 689176 wengi tu sema wengine sio maarufu
Huyu ni Mtz
Hahahahaaa.Hii haikidhi bwana,ha haa
Wataniibia hapaTutumie na ya mzee ili tujue chanzo cha tatizo.
Nishajitupia mkuuAkizingua jitupie mwenyewe