Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Hapa ndio nashindwa kuelewa handsome ni Nini, maana hata Mimi nimeshawahi kuitwa handsome several times.mimi mwenyewe najua Mimi sio handsome, Hii inachanganya Sana. Vigezo ni kitu gani, ni wanawake tu ndio wanaweza kutambua handsome?
 
Ndio wanawake kuna vitu tukiangalia kwa mwanamme vinakuvutia kikubwa ni kuwa smart na mwenye kupangilia nguo zake usafiii na Sura kidogo yanasaidia kuvutia
 
Mwanaume kuweka picha ya mwanaume mwenzio jamvini kwa kigezo cha uhandsome ni dalili za kishoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…