Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Teh..inawezekana ila mimi nimefanya reference ya avatar yake na jina lake. Yaani ukiunganisha hivyo vitu viwili image inayonijia kichwani ni ya Remmy Ongala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jaman ila kweli hili jina lake uuuuwiiiii mm niliwaza ni Hamorapa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…