Uzi wa kutupia picha za wanaume mahandsome!!!

Mkuu hao wanajilegeza wenyewe ndo hao tunakuja kupata nzao za mashoga .
.[emoji13] [emoji13] ww dume gani linalegeza jicho km jike
Mzee huwezi kubadilisha nature ya mtu zaidi utapata tabu sana hata huko mitaani
Nilikuwa na fikra kama hizi yaani namaindi hawa watu nilipogundua napoteza energy kwa negative things nilijiona mzembe sana
Bora kudeal na yako tu
 
Hivi umemuona yule aliye kwenye swiming pool yaan kalegeza jicho km kakalia gogo sasa huyo nae ni mwanaume ...shit hole yule [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mmh! hizo culture zingine hapana kwakweli [emoji125][emoji125][emoji125]
Mabwanga style na mm nikivaa kigaun cha kitengee [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Hivi umemuona yule aliye kwenye swiming pool yaan kalegeza jicho km kakalia gogo sasa huyo nae ni mwanaume ...shit hole yule [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahaaa
kwani ili uwe mwanaume yahitajika uwe na nn mkuu .sio dushe !??
 
Mwanaume pesa sura Hata Mbuzi anayo [emoji85][emoji85][emoji3]
Imeandikwa Fedha ni jawabu la mambo yote [emoji108]
Kuna wanawake walioingia Kwenye mahusiano ya ndoa kwa kuangalia sura ya mwanaume Ili hali waume hao hawana pesa Hata ya kuweza kujikimu na familia Mwaka wa kwanza, wa pili n.k mwisho wa siku ndoa hizo zimeishia kivunjika kwa asili!
Rejea ndoa ya Madam Florah Mbasha, Joyce Kiria na wengine wengiiiii!
Wadada unapotaka kuolewa usianze kwa kuangalia sura ya mwanaume badala Yake angalia upendo, uaminifu, Ucha Mungu, uwezo wa kuweza kupata pesa ya kujikimu na familia n.k
 
Mzee huwezi kubadilisha nature ya mtu zaidi utapata tabu sana hata huko mitaani
Nilikuwa na fikra kama hizi yaani namaindi hawa watu nilipogundua napoteza energy kwa negative things nilijiona mzembe sana
Bora kudeal na yako tu
Haya bhana ....ila hata ww kumbe hupendezwi na mwanaume anaejilemba na kujiweka km jike
 
Bwahahaahahahaja napita Kwa kuringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…