Kweli kabisa mkuuPia na vifaa vya umeme navyo ni muhimu sana. Ikibidi hata kama kuna maduka ya jumla yanayouza kwa bei nafuu bidhaa hizo.
Labda hawajauona Uzi huu vizuri, lakini kama malengo ya mtoa mada yakifanikiwa atakuwa amewasaidia wengi nikiwemo na mimi.Wamegoma kuja duh
Kaka biashara in nguvu ya soko, kama wote tukijazana huko na wote sokoni tunafanya vzr ttz liko wapi? Kumbuka kuwa tunapojazana huko tuyapunguzwa naMarket Force.Hyo msahau kama kuna atakae toa connection Hzo halafu mkishaambiwa wote mkajazane huko yy atamuuzia nani.
Sasa wewe mteja wangu ukija nnakuuzia kitu kwa elf 5 halafu nikuelekeze kinapouzwa kwa elf 1 ntakupata tena hyo ndio sababu hawawezi kukupa connectionKaka biashara in nguvu ya soko, kama wote tukijazana huko na wote sokoni tunafanya vzr ttz liko wapi? Kumbuka kuwa tunapojazana huko tuyapunguzwa naMarket Force.
TRONICS, wako mtaa mitaa ya Morogoro Road pale karibu na KISUTU, wazee wa KKOO wanaenda kuchkua mzigo pale, then wanaenda kuuza.Pia na vifaa vya umeme navyo ni muhimu sana. Ikibidi hata kama kuna maduka ya jumla yanayouza kwa bei nafuu bidhaa hizo.