kwa mala kwanza kuwa wa kwanzaHabari zenu Wakuu,
Poleni saana kwa kilichowakuta, najua wengi tuliimiss sana JF
So, karibuni tena Wakuu!!
mbna mi sion??Ila naons kuna tuvitu tumeongezeka km OP bila shaka ni original post eti Moderator ni kweli
Kweli kabisa mkuuLife was so boring without JF
Pole sana mkuuAcha kabisa. Welcome back
Kwa kweli aiseeTumerudi..ila inabidi tupewe mwongozo kama terms zimebadilika